Baada ya polisi kuzuia kongamano la Bajeti lililokuwa limeandaliwa na chama cha ACT-Wazalendo ambapo kongamano hilo lililenga kumpa fursa ya pekee kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe kusema yale ambayo angeyasema bungeni baada yeye na wabunge wenzake sita wa upinzani kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bajeti bungeni.
Mosktear Tanzania ni blog ya kiswahili ambayo kila siku itakupa headlines zilizobebwa kwenye Magazeti, matukio yote muhimu yaliyotokea duniani, taarifa za michezo na ratiba zake na Uchambuzi wa stori zote utazipata hapa mpyamjini.blogspot.com na pia unaweza kunifollow kwenye account yangu ya instagram>>>@mosktear_tz, facebook>>> @mosktear jonathan, na piah kwa ushauri na mengineyo unaweza kutumia>>> +255 717 840 494. E-mail:>>>mosktearjonathan@gmail.com
Translate
Showing posts with label Siasa. Show all posts
Showing posts with label Siasa. Show all posts
Thursday, June 23, 2016
Wednesday, June 22, 2016
KITWANGA ATUA TANZANIA, AELEZA KILICHO MPELEKA ISRAEL.
pichani ni aliekua waziri wa mambo ya ndani ya nchi Charles Kitwanga.
Moja ya
habari iliyoripotiwa ni hii kutoka gazeti la Habari Leo yenye kichwa cha
Saturday, June 18, 2016
BAADA YA ZITO KABWE KUJISALIMISHA POLISI HAYA NDIO YALIYOJIBU.
Thursday, May 5, 2016
KUHUSU TBC KURUSHA BUNGE LIVE ANGALIA HII
Haya ni mabishano yaliyotokea jijini dodoma wakati wa kikao cha bunge kati ya Zito na Chenge.
Tuesday, May 3, 2016
JPM AKIHUTUBIA MARAISI WA MUUNGANIKO WA AFRIKA MASHARIKI.
Raisi wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa maraisi wa Africa mashariki, mkutano huo ulifanyika Nguridoto jijini Arusha Tanzania.
Wednesday, April 6, 2016
MWENYEKITI AUWAWA KIKATILI.
Mwenyekiti wa Kitongoji Auawa Kikatili Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu Akizini Kichakani.
Subscribe to:
Posts (Atom)



