Mosktear Tanzania ni blog ya kiswahili ambayo kila siku itakupa headlines zilizobebwa kwenye Magazeti, matukio yote muhimu yaliyotokea duniani, taarifa za michezo na ratiba zake na Uchambuzi wa stori zote utazipata hapa mpyamjini.blogspot.com na pia unaweza kunifollow kwenye account yangu ya instagram>>>@mosktear_tz, facebook>>> @mosktear jonathan, na piah kwa ushauri na mengineyo unaweza kutumia>>> +255 717 840 494. E-mail:>>>mosktearjonathan@gmail.com
Translate
Saturday, May 21, 2016
MANNY PACQUIAO SENETA WA BUNGE LA FILIPINO MAY 19 2016.
Bondia mwenye jina kubwa katika ulimwengu wa ngumi Manny Pacquiao May 19 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kushinda nafasi ya Seneta katika bunge nyumbani kwao Filipino, Pacquiao amefanikiwa kushinda nafasi hiyo kwa kura milioni 16.
Labels:
Michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment