Translate

Tuesday, June 21, 2016

Top 10: Trace TV wamezitaja video mbili kutoka East Africa kwenye Urban Hit 10


Ni kazi yangu kukusogeze hit zote ambazo zinafanya vizuri kwenye vituo vikubwa vya TV Africa June 17 2016, Trace TV wamezitaja
video mbili tukutoka East Africa ambazo zimeingia kwenye Top 10 ya Urban Hit 10, pia usisahau kuniachia comment yako kwenye list ya hii midundo kumi ilitajwa na Trace TV kwenye Urban Hits 10.

Vanessa Mdee kutoka  Tanzania na Sauti Sol kutoka Kenya ndio wanaiwakisha East Africa kwenye chat hizo za Urban Hit kupitia Trace TV, nakusogezea list hapa chini.



















1 comment:

Anonymous said...

And can i have the vidéo of that urban hit 10