June
13 2016 kuna story nyingi za Entertaiment zimechukua Headlines na moja kati ya
story za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines ni
hizi kutoka Perfecto
TV, mrembo kutoka bongoflevani Linnah
amefunguka kuwa anatamani kuwa Rapper Darassa anagekuwa Baba watoto wake.
‘Naweza ni kasema kuwa kutokana na tabia alizonazo Darassa anastahili kuwa baba maana nimekaa na Darassa kwa muda mfupi lakini nimemkubali sana, nimemuona ni mtu flani ambaye namkubali sana yaani Darassa ana kila kitu ambacho mimi natamani Boyfriend wangu angekuwa nazo‘>>>Linnah
No comments:
Post a Comment