Najua nina watu
wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es
salaam ningependa ukaitazama hii
movie mpya iitwayo IP Man 3 ambayo ndani wameshiriki mastaa wawili Donnie Yen na Mike Tyson.
Movie hiyo
inatarajiwa kuonesha leo June 17, 2016 kwenye theater mbalimbali za Dar es
Salaam, Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality
Center.
No comments:
Post a Comment