Translate

Tuesday, June 21, 2016

SIKILIZA WIMBO MPYA WA RUBI NA YAMOTO BAND - "SUU"



Baada ya Headlines za Aslay na Ruby kutoka kimapenzi Yamoto Band pamoja Ruby
wanatualika kuusikiliza wimbo wao mpya ‘Suu‘ chini ya Producer Shirko, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa na wakali hawa wataiona hapa.

No comments: