Swizz Beatz
ni producer mkali ambaye hata ukisema
utaje majina makubwa ya Maproducer wakali watano Marekani huwezi kumsahau.
Sasa leo June 20, 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kupost picha katika ukurasa wake wa instagram akiwa na mkali kutokea Nigeria, Wizkid ikiashiria tutegemee kitu kizuri kutoka kwa wawili hao.
Sasa leo June 20, 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kupost picha katika ukurasa wake wa instagram akiwa na mkali kutokea Nigeria, Wizkid ikiashiria tutegemee kitu kizuri kutoka kwa wawili hao.
Pichani: Wizkid
aliungana na Chris Brown kufanya show ya pamoja kwenye ukumbi wa Ziggo Dome
huko Amsterdam ambapo wawili hao waliimba kwa mara ya kwanza wimbo wao mpya
uitwao ‘African Bad Girl’.
Kwa sasa
nyota ya Wizkid imeonekana kung’ara zaidi baada ya wimbo alioshirikishwa na
Drake uitwao ‘One Dance’ kuvunja rekodi kwenye Billbord Top 100.
No comments:
Post a Comment