Leo
June 08 2016 Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefika Makao makuu kanda
maalum ya
Dar es salaam, ikiwa ameitikia wito wa polisi. Zitto amefika kituoni
hapo na ametakiwa atoe maelezo kuhusiana na maudhui ya hotuba ambayo aliitoa
June 5 2016.
>>>’nimesikitika
tu kwamba sasa hivi tumefikia hali ambayo unapoenda kwenye mikutano kama
kiongozi wa siasa unaanza kufikiria useme nini au usiseme nini, hali ambayo
haikuwepo kwa takribani miaka 10 iliyopita tulikuwa huru kabisa kuweza kueleza
mawazo yetu na hatua mbalimbali za kisiasa’.
No comments:
Post a Comment