Translate

Saturday, June 18, 2016

YAFAHAM MAMBO 9 YALIYOMKUTA RAY C BAADA YA KUCHUKULIWA NA POLI USIKU WA JUNE-16.




Usiku wa June 16 kuamkia June 17 kuna video ya mwimbaji wa 


Bongofleva Ray C ilisambaa mitandaoni na kila mmoja kuzungumza habari tofauti kuhusu clip video hiyo, wapo waliosema Ray C kapata kichaa na mambo mengine mengi tu,
nakusogezea mambo 9 ya kufahamu kuhusu Ray C baada ya kusambaa kwa video clip na yeye kuchuliwa na Polisi.

1- Polisi wamesema hawakumkamata Ray C bali walimpeleka hospitali kupatiwa matibabu

2- Ray C amepimwa hospitali wala hana kichaa ni mzima ana akili timamu.

3- Mkurugenzi wa uzalishaji na utafiti Clouds Media Ruge Mutahaba amethibitisha kuwa June 17 Ray amepelekwa Rehab Bagamoyo.

4- Rehab aliyopelekwa Ray C ni Bagamoyo mkoa wa Pwani, Rehab ambayo aliwahi kuishi Chid Benz wiki tano zilizopita.

 



No comments: