Baada
ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msanii kutoka Bongoflevani
Abdu Kiba yuko tayari kujiunga na Lebel
ya WCB ya Diamond Platnumz,
June 8 2016 mpyamjini.blogspot.com imekutana na Abdu Kiba na katoa
majibu haya kutokana na taarifa hii ya kujiunga WCB.
>>’Si
kweli kama watu walivyomaanisha nashangaa taarifa ambazo zinasambaa kuwa mimi
ninaweza kukaa mezani na kusaini WCB hapana mimi sikumaanisha hivyo kwa sababu
kwanza mimi niko chini ya Lebel yangu ambayo wanasimamia muziki wangu, halafu
kwenye upande wa kuimba sidhani kama upande ule ninaweza kupata madini zaidi ya
huku
No comments:
Post a Comment